Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,435
- 52,912
Nasikia hiyo huduma ya kusafisha kucha huwa inawapaga raha na msisimuko[emoji3101][emoji3101]
View attachment 1617963
Nasikia hiyo huduma ya kusafisha kucha huwa inawapaga raha na msisimuko[emoji3101][emoji3101]
View attachment 1617963
Safii [emoji102]Wimbo wangu pendwa[emoji3059]
Nini hiyo
Kilimo sio[emoji3590]View attachment 1618102
Safi pande hii, wewe je? , wapi hukoHope every one is having a great evening!View attachment 1618067
Asante mpenziNimependa namna ulivyotengeneza hizo nywele.
Tuma nyingine uliyogeukia mbele tuone[emoji4]Asante mpenzi
Hali ya hewa nzuri sanaKilimo sio
Juzi,leo na jana
Talk to me Ely 🙂🙂
Dom au mbeya? Upo poaHali ya hewa nzuri sana
SongweDom au mbeya? Upo poa
Habari ya uzimaTalk to me Ely [emoji846][emoji846]
Niko poa kabisa, kape hi.Haha kanadunda tu. Asante. Uko poa mwenyewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jina Karma sijui analipendea nini, hivyo kumfurahisha nimeona nilirudishe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaaani.
Naona uchaguzi umetufanya turudie jina letu mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanameza wakati tu kampunga kanasoma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajomba wameza mashoka hawaishagi aise