Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,787
- 182,942
Sawa dogo, hujambo?Nimedandia treni kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa dogo, hujambo?Nimedandia treni kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16]
We nani? Tunafahamiana?Sawa dogo, hujambo?
Dogo wewe na adabu zako mshikamane ala!We nani? Tunafahamiana?
Halafu ukome kuniita dogo. Naweza kukuzaa wewe ohooo! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
😅😅😅Uyo Mp ni mimi
😊😊😊Jizazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mama mafurushi bana [emoji23][emoji23][emoji23]Dogo wewe na adabu zako mshikamane ala!
Saluni kabisa??? 🙄🙄Nasikia hiyo huduma ya kusafisha kucha huwa inawapaga raha na msisimuko
Milele itakuwa baada ya kuondoka huu ulimwengu wa shida.Na hata milele
Amina
Hujambo mpendwa
Nikifafanua nitaharibu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji4][emoji4][emoji4]
Jizazi kafanya nini tena Shimba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa naenjoy sana chit chats zenu yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu kashitukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbaya sana 😏😏 Kwako??Habari ya uzima
Niko salama kabisa kwa matumizi ya binadamuMilele itakuwa baada ya kuondoka huu ulimwengu wa shida.
Mimi sijambo,hofu kwako.
Kwangu ni salama mpendwaSio mbaya sana [emoji57][emoji57] Kwako??
Hapo anataka kutuchokoza tu wanyakyusa wala hana lolote
Basi usiwe unahamaki hivyo kwa jina lake. Anaweza akatokea hapo ukashindwa cha kumwambia 🙂🙂Nikifafanua nitaharibu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wanameza wakati tu kampunga kanasoma.