Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Somebody’s favorite auntie 😉

DC92923D-5F15-4B01-A89E-599FD30D5A94.jpeg
 
Tumilo twako hutu tunaniachaga hoi kwa sababu mimi hapo ni finyango moja tu kisahani cheupe. Kwa ulaji huu utakuwa na kafigure moja matata sana [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
🤣🤣🤣 sasa we si mwanaume Shimba. Ila mwili wenyewe hata hauna adabu, unanichosha tu 🥴🥴🥴🥴
 
Hana lolote huyu..
Kama juzi kati kuna member kaleta uzi wake( nimemsahau jina) akaanza kutaja member wa humu..Saa ngapi hajanitaja mimi eti na Unyakyusa wangu.. Nilichekaa..
Nikataka nikutag uje ujioneee..
Halafu mnaulizana makabila ya nini? Mnataka kutambika? (In Mwl. Nyerere's voice)

We Makiseo kwani kabila gani? Isije ikawa ni dadangu kabisa wa Nyakabindi unanisanifu tu hapa? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ulianzisha wewe.. siye tunamalizia.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom