Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Sijambo dada shikamoo[emoji4]Saint Anne hujambo totoo?
Sijambo dada shikamoo[emoji4]Saint Anne hujambo totoo?
Ndio ndio.
Sijambo mkuu..na wewe hujamboHujambo mkuu
Habari za huku Nyakabindi njema [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Salama Elly.. Habari ya huko?
Umeulizwa?Habari za huku Nyakabindi njema [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nambie mdogo wangu
Nimedandia treni kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16]Umeulizwa?
[emoji16][emoji16] endiwoWacha we!!!
Binafsi sijambo sana tu mkuuSijambo mkuu..na wewe hujambo
Ah hiyo lazima mama! Wenyewe wanakwambia ati kwenda coco na kuondoka bila kula mihogo na mishikaki yao ni sawa na kwenda zanzibar na kuondoka bila kula shawarma na urojo wao yakhee!Ahaaaa [emoji846][emoji846]
Basi safi...I hope mihogo na mishkaki imehusika vya kutosha kwa niaba yetu tuliokosa [emoji39]
Shikamo dada/kakaNambie mdogo wangu
Naomba unipeleke na mimi siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo hapo.
View attachment 1617440
Marahabaaa mdogo wangu haujambo weweShikamo dada/kaka
Kuonyesha kwamba I agree witchu 💯💯 (japo sielewani na urojo 🥴🥴) msikilize Prezzo akikuambia For Sho....For Shizzy 🎶🎶Ah hiyo lazima mama! Wenyewe wanakwambia ati kwenda coco na kuondoka bila kula mihogo na mishikaki yao ni sawa na kwenda zanzibar na kuondoka bila kula shawarma na urojo wao yakhee!
You know what i'm saying [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Kabeba box 😆😆😆😍😍