Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,847
- 141,232
It is said the apple doesn’t fall far from the tree 😉...Kabeba box 😆😆😆😍😍
It is said the apple doesn’t fall far from the tree 😉...Kabeba box 😆😆😆😍😍
Mimi sijambo dada/kakaMarahabaaa mdogo wangu haujambo wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa urojo nakuelewa sana mama, hauko peke yako.Kuonyesha kwamba I agree witchu [emoji817][emoji817] (japo sielewani na urojo [emoji3061][emoji3061]) msikilize Prezzo akikuambia For Sho....For Shizzy [emoji445][emoji445]
Sawa mdogo wanguMimi sijambo dada/kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari za huku Nyakabindi njema [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaaani.Umeulizwa?
[emoji4][emoji4] [emoji16][emoji16] umeona enh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaaani.
Naona uchaguzi umetufanya turudie jina letu mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nacheka.. hivi mliambizana?[emoji4][emoji4] [emoji16][emoji16] umeona enh
Saint Anne njoo huku uone jina letu limerudi
Nimefurahi sana Jina na Avatar vimerudishwa.[emoji4][emoji4] [emoji16][emoji16] umeona enh
Saint Anne njoo huku uone jina letu limerudi
Makiseo! Upo kwani?
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] Wala hata, mie tangu zamani nilitamani nilirudie hili ila mods walishanikatalia nikawa sina chance ya kubadili tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimefurahi sana Jina na Avatar vimerudishwa.
Kwanza nilivyoona tu nikaanza kucheka.
Ila wewe bora ungeacha tu lilelile kuliko hili[emoji846]
Hiyo hapo.
View attachment 1617440
Woow! Kuna movie wanaigiza?
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdogo wangu bado tu unawaza hili la karma? Si nilishakwambia huwa tunachagua majina yanayoendana na sura zetu mama!
Nimependa namna ulivyotengeneza hizo nywele.
Unajua kuna kitu umenifumbua hapa...[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] Wala hata, mie tangu zamani nilitamani nilirudie hili ila mods walishanikatalia nikawa sina chance ya kubadili tena.
Ila walivyotupa access ya kujibadilishia jina ndiyo kama wakawa wamempa kichaa rungu, yaani hata sikuchelewesha siku hiyo hiyo nikabadilisha.
Mdogo wako sijui ni nani aliyefanikiwa kumshawishi alirudie hilo jina nampa hongera huyo mtu, maana wengine tulibembeleza tukaambiwa hilo jina halirudi ng'oo.
Ila mie nimefurahi tu limerudi, maana nalipenda utafikiri langu. [emoji3][emoji3] [emoji85][emoji85]