Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wao wanadhani mchezo..Mimi nilimwambia Bora nikalime kuliko kusoma Tena sasahivi ..tena kusoma hapohapo eti ananiambia Soma vitu mchanganyiko uwe na uwanja mpana nikamwambia a wapi niacheni jamanimsije kunitoa roho bure mwenzenu

Mimi kozi niliyosoma ilitaka kuniuamtu hadi unazeekea hapohapo Cha!
Yaani tofauti na watu wengi wanavyopachukulia...waliopo sasahivi wanajua mziki wake..yaani hadi kuna madogo mwaka huu walikuwa wanalia kwanini walikujasasa dogo anaanza kulia 1st year

Nasubiri picha ujue
Kwakweli udom sio pa kurudi, Sasa hivi ni kutafuta hela tu elimu inakutosha

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Swoosh Gang....where y’all at?

FB2502A9-FE7B-4F70-A937-D64EB1FF2A99.jpeg
 
Ok sawa tutaona inakuaje kipindi Fulani nilipeleka na hii scania 124 trip moja Sudan ilikua super profit Ila kwa Sasa masuala ya usalama hayako sawa hasa dafur nkaogopa wahuni wasije choma chuma tukaanza na upya

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ukipeleka mahindi au unga? Ulitumia vibali gani chief maana mimi na hustle nipeleke nje hii bidhaa
 
Back
Top Bottom