Huyo mheshimiwa msalimieUlevini na bestie Fursakibao View attachment 1604496
Zimefika bossHuyo mheshimiwa msalimie
Hii bia ni soft sana mkuu kwa wewe, tuwaachie wakina gigy money
Mzee wa maize
Ndio mzee fanya mipango tusafirishe nje nina stock ya kutoshaMzee wa maize
Nitakucheki inbox tuyajenge mzee babaNdio mzee fanya mipango tusafirishe nje nina stock ya kutosha
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nipo mbioni kufanya hivyo professorNdio mzee fanya mipango tusafirishe nje nina stock ya kutosha
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yaani nimemmiss hatari. Kaamua kutukimbia wenzie.Yaani nimemiss mama haiba na kale ka shingo kake