Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,543
- 18,230
Mi nataka iwe zamu yetu tuselfike togeza.Zamu yako sahii
Mi nataka iwe zamu yetu tuselfike togeza.Zamu yako sahii
Haya ahsante kwa ushauriOhooo shaur zako jitahid uache bwana
Hapa uncle kazoa anapiga tonge 1 tu anamaliza kila kitu [emoji23] ,, kweli tunatofautiana aisehLunner......View attachment 1606135
😁😁😁Hapa uncle kazoa anapiga tonge 1 tu anamaliza kila kitu [emoji23] ,, kweli tunatofautiana aiseh
Ilikua unga kibali nilitumia Cha mzee Fulani alikua na kibali Cha SADC Ila alifariki mitoto yake ikashindwa endesha biashara kampuni imejifiaUkipeleka mahindi au unga? Ulitumia vibali gani chief maana mimi na hustle nipeleke nje hii bidhaa
Umetisha mzee
Hmm 🤔!
Nimeona pork belly hapo iko tayari nikajua jeera rice haioni ndani kabisa!!😏😏Hmm 🤔!
Wewe siku hizi umekuwa mchoyo kweli.
Hata hunikaribishi 😠
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu nani dogo, unapenda ukubwa wewe, tatizo langu sijalijua [emoji28][emoji28][emoji28]Tatizo lako ni moja tu mdogo wangu wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Madilu system- sansaOhooo shaur zako jitahid uache bwana
I think you know what happens when when you assume things😉...Ungekataa tu mwaliko wewe🤪🤪🤪
Ngoja nitakucheki PM [emoji1787][emoji1787] sema mimi soko langu nime target UK sema ngoja nijaribu na chache nipeleke sembe mzee ile sembe safiiiiiiiiIlikua unga kibali nilitumia Cha mzee Fulani alikua na kibali Cha SADC Ila alifariki mitoto yake ikashindwa endesha biashara kampuni imejifia
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app