Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Weeee kumbe unapenda flat screen 😁😁Utakuwa mgeni wangu peke yangu
Weeee kumbe unapenda flat screen 😁😁Utakuwa mgeni wangu peke yangu
Yeuwye...🥰🥰🥰🥰🥰thank you darling...Halafu mojawapo ya ugonjwa wangu, mbali na misambwanda, ni mamiguu. Oh Jizazi teki ze whiili nao. Yu a gojazi Chakorii![]()

Mkuu, wa PCB watakuja. Mi naulizia tu huyo samaki ndiyo ushamalizana naye au unapumzika kidogo?mwenye pesa ya mahali na cheti Cha form six PCB ( zote awe na A ) dogo yupo hapaView attachment 1602267
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Inaelekea kazi iliyofanyika hapo si ya kitoto.mkanda wa suruali nimeuelewa😅😅mwenye pesa ya mahali na cheti Cha form six PCB ( zote awe na A ) dogo yupo hapaView attachment 1602267
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Huyo samaki kaniletea njaa hakyanani vilemwenye pesa ya mahali na cheti Cha form six PCB ( zote awe na A ) dogo yupo hapaView attachment 1602267
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yani..😔😔Mtegemewa anapokuwa tegemezi
Nilikua napumzika kidogo mkuu mzigo uliisha mpaka mifupa mhudumu alizani nimekuja na Dem kumbe mdogo wangu alijua nitazuga kubakizaMkuu, wa PCB watakuja. Mi naulizia tu huyo samaki ndiyo ushamalizana naye au unapumzika kidogo?
Hahaha siumeona na Dona pembeni watu wa mkoa hatuna mchezo lazma ulegeze mkanda chakula kipangike kwa ustadiInaelekea kazi iliyofanyika hapo si ya kitoto.mkanda wa suruali nimeuelewa![]()
Kwahiyo hapo ndo mshamaliza kula sio!Hahaha siumeona na Dona pembeni watu wa mkoa hatuna mchezo lazma ulegeze mkanda chakula kipangike kwa ustadi
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Aiseee 🤦🏽♂️😂😂Mbona umri mdogo kabisa huo![]()
![]()
![]()
![]()
33 -35 michache Sana ati
Mzigo uliisha ilikua mapumziko kidogo ni hasara Sana kuacha samaki mkubwa hivoKwahiyo hapo ndo mshamaliza kula sio!


Ahaaa kama mlikuwa mapumzikoni hapo sawa.nilifikiri ndo mlikuwa mmemaliza.nilikuwa nimeshaandaa viboko kwa ajili yenu😁😁Mzigo uliisha ilikua mapumziko kidogo ni hasara Sana kuacha samaki mkubwa hivo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
billdragomwenye pesa ya mahali na cheti Cha form six PCB ( zote awe na A ) dogo yupo hapaView attachment 1602267
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwamba mkanda wa suruali upo wazi jamaa kashiba tumbo likaongezekaInaelekea kazi iliyofanyika hapo si ya kitoto.mkanda wa suruali nimeuelewa![]()