Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dodoma ulishamaliza ? Nimekaa Sana pale social science 3 yrs

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Weka picha kwanza[emoji4]

Kumbe ulikuwa wa Social eeh??
Uliwahi kaa kaa na bondeni?watu wengi wanaosoma CHSS huwa wanapenda kukaa kule bondeni kuliko social sijui kwanini.

Mimi nimekaa Dom hadi nazeekea pale jamani[emoji23][emoji23][emoji23]karibu sana chimwaga December.
 
Hahaha humanity??

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha humanity??

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yah
Sijui huwa mnakupendea nini kule.. Mimi huwa naona social ni pazuri kuliko bondeni. Ila unakuta mnapambana kukaa bondeni

Ni Kama tiba pia,wanapambana kukaa pale coed sijui kwa sababu ni karibu na ujasi ya ng'ong'ona[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom