Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,915
- 236,447
Uliandika nini??Nilitaka kukuza ubishi juu ya uhalisia wa figure yako na unavoisingizia kamera ila nikaona sio issue nikafuta
Basi tu huamini maneno yangu [emoji23]
Halafu naomba ujiselfishe nikuone