Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
AmenSio mbaya taratibu taratibu...ikiwa itampendeza Bwana na ikawe hivyo
Mwalimu kidogo kanichangamsha.. nilikuwa nimepoa sana..yaani nimekuwa mzembe kupindukia,utadhani nilishamaliza kila kitu yaani kumbe sijui chochote[emoji1787]
Mungu huyu basi tu anatuhurumia na kutupa nafasi tena.