Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdogo wangu Mambo ni magumu haya Ila sijui ni kwa wote I personally suala la selection bado Niko slow mnooo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ukimshirikisha Mungu hakuna linaloshindikana.
Tatizo huwa hamtaki kusali na kumsikia Mungu.
Mnajiendea endea tu mnavyotaka..lazima ukubali kulipa gharama ya muda na utii wa kusikia,
Huwezi ukasikia Kama huna Roho mtakatifu,Huwezi kuwa Naye Kama mazingira yako si masafi,anakaa mahala pasafi tu.

Angalia hayo,kuna sehemu utakuwa unakosea..
Pia muulize Mungu majira yako sahihi ya wewe kuingia huko Kama bado hayajafika au tayari.
 
Ukimshirikisha Mungu hakuna linaloshindikana.
Tatizo huwa hamtaki kusali na kumsikia Mungu.
Mnajiendea endea tu mnavyotaka..lazima ukubali kulipa gharama ya muda na utii wa kusikia,
Huwezi ukasikia Kama huna Roho mtakatifu,Huwezi kuwa Naye Kama mazingira yako si masafi,anakaa mahala pasagi tu.

Angalia hayo,kuna sehemu utakuwa unakosea..
Pia muulize Mungu majira yako sahihi ya wewe kuingia huko Kama bado hayajafika au tayari.
Itabidi nijitathmini kiroho kwanza Kama nastahili kupata kitu Bora kwa wakati gani

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ninaswali hapa..kwa mujibu wa..
Mathayo 22 ambayo inasma..

Hao walioalikwa Arusini wakakataa kuja na wakawatenda watumwa wa mfaleme huyu kwa kiburi kwa uelewa wangu najua ni Wana wa Ibrahim Isaka na Yakobo (Israel), hao waliokusanywa kutoka barabarani na na njiapanda ndio SISI non Israelites al maarufu kama Watu wa mataifa...Hilo eneo la kuwakusanya watu barabarani baadae Yesu alilikazia kabisa kwa kuwaambia kama inavyoelezwa kwenye Mathayo 28 kua Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa kua wanafunzi wangu..

Sasa dukuduku langu liko hapa, kama Hao walioalikwa (Waisrael) wangekubali kumpokea Mungu (kusikiliza watumwa wa mfalme ambao ni Manabii na mitume wa Mungu) Je nini kingetokea kwetu? Hatima yetu sisi watu tuliokusanywa njiapanda na barabarani ingekuaje??
Kwakweli wakati wa mahubiri nilijikuta nataka kutoka relini kwa kutafakari hayo maswali hapo juu kutokana na somo la leo.
Mungu anaujua mwisho kabla ya mwanzo

Kama ingekuwa hivyo ulivyosema basi angejua mwenyewe namna ya kufanya.

Tunaomba picha yako
 
Itabidi nijitathmini kiroho kwanza Kama nastahili kupata kitu Bora kwa wakati gani

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Watu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God

Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.

Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.

Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?
 
Amina mtumishi unatema Sana madini # nitazingatia procedures

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Madinat Al Bahr​

20201017_000044.jpg
 
Watu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God

Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.

Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.

Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?
Ikikupendeza nifundishe abc

Back
Top Bottom