Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,988
Hakuna kitu mkuuNini sasa..
Kwema lakini mkuuUtajua hapo utakapoliona mkuu
Ushaanza bangi ee!!nywele za kichwani mkuu
Kwema mkuu.Leo wapi wikendKwema lakini mkuu
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema mkuu.Leo wapi wikend
Ohooo oky mkuu hakuna shida.Vizuri sana kama ni kwema mkuu
Hapa ndo nataka kucheki uelekeo wapi nitatua wikend hii.
Karibu
Nakupenda muno siwezi kukusaliti na wala sheteni hawezi kunipitiaOhooo oky mkuu hakuna shida.
Kuwa makini tu![]()

Una makusudi wewe mtu ujue.mambo gani sasa haya😁.sijala hiyo kitu ninamda kichizi
Haha....karibu ule mkuuUna makusudi wewe mtu ujue.mambo gani sasa haya.sijala hiyo kitu ninamda kichizi
😳😳😳😳kusalitiana tena hee!!Nakupenda muno siwezi kukusaliti na wala sheteni hawezi kunipitia![]()
Asante sana mkuuHaha....karibu ule mkuu
Mpenzi wangu nimtoe wapi nipo nakufa na utamu wangu kama muwakusalitiana tena hee!!
Wewe kama unamsaliti mpenzi wako msaliti tu mkuu
Bro usijefanya watu wakumeze![]()
![]()
Ungebaki tu, rais huku ni magu tena ccm mitano tena



Na u hb wote huo una kosa totozi!!😅we kijana acha masihara basiMpenzi wangu nimtoe wapi nipo nakufa na utamu wangu kama muwa
Bongo sihami wallahi 🤪🤪
Mimi sitaki wasukuma.wakianza kuniteta kilugha nitakuwa mgeni wa nani na hivi mlivyonamakusudi..Mpenzi wangu nimtoe wapi nipo nakufa na utamu wangu kama muwa
Naomba uwe mpenzi wangu
U hb bila hela ni sawa na dela bila tako ni kanzu tuNa u hb wote huo una kosa totozi!!we kijana acha masihara basi
😁😁😁chizi kabisa ujue wewe🤪🤪U hb bila hela ni sawa na dela bila tako ni kanzu tu