Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo samaki na deal nao perpendicular
IMG_20201016_211652_989.jpg


Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ndio nagombea kata moja wapo hapa mjini. Karibu weekend hii mahali fulani tupate kilaji kidogo...

Nimemiss kashikashi zako katika baadhi za nyuzi kamanda
acha tu mm wajumbe walinilamba sina hamu, walikunywa na kula lkn kula ya maoni haikuwa kura
kuna member wetu mmoja hajarudi Jukwaani aligombea Ubunge Kawe na member kibao wa mumuhumu
ngoja akirudi nakushtua,
nyuzi zile hazifai ngoja upepo utulie Oktoba 28
 
Back
Top Bottom