zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Dah!amna si urembi hata Chakorii ndo ulivyo hata nikiandika haraka au polepoleHuo mwandiko wako unaonekana unauremba mno.wewe unatolea wapi mda wa kuremba mwandiko namna hiyo ikiwa uko buzy unakimbiazana na muda??mwandiko wa kutembea unajulikana na mwandiko wa kukimbuzana na muda unajulikana.ila usijali uko vizuri hongera
Hata wakati niko shule essay tatu za history niliandika kwa 30 minutes Ila mwandiko neat hivyo Hivyo










