Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good Morning fellas
20200825_070627.jpg
 
@Chakorii mwandiko kwani unaoneshaje mtu ana fedha mbona walimu wa kike wanaandika vizuri na wanaingiza fedha
Huo mwandiko wako unaonekana unauremba mno.wewe unatolea wapi mda wa kuremba mwandiko namna hiyo ikiwa uko buzy unakimbiazana na muda??😅😅😅mwandiko wa kutembea unajulikana na mwandiko wa kukimbuzana na muda unajulikana.ila usijali uko vizuri hongera
 
Back
Top Bottom