ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,500
- 126,820
Mtoto wa kike kwa babake, kwani hujui babe?Kwendraaaa ila ingekuwa baba yako Eli79 ungemtag tu [emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa kike kwa babake, kwani hujui babe?Kwendraaaa ila ingekuwa baba yako Eli79 ungemtag tu [emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nataka kujua hiyo bangi unayovuta ni ya wapi
Najua ndio maana nimemtimua.Mtoto wa kike kwa babake, kwani hujui babe?
Usitengeneze matabaka kwa watoto.
Kwendraaaa ila ingekuwa baba yako Eli79 ungemtag tu [emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa kike kwa babake, kwani hujui babe?
Kama kawaida,ile ile ya Arusha [emoji16]
Naona wewe huwa unavuta hadi mizizi siyo bure
Dea leo naomba picha yako.Namalizia kuedit [emoji2955]
Kwendraaaaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiye anayenidekeza sa mie nifanyeje unadhani nani anapenda kufokewa muda wote
[emoji85][emoji85] na mi ni binadamu kuna muda nahitaji kudeka jamani
Lucas Graham.Once I was seven years old, my momma told me “go get yourself some friends or you’ll be lonely”.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweeeh!! Zoë na Saint Anne kazi kwenu. Hangaikeni ni huyu kiumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134]Hapana mom sitaki hata kuiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ..itakua imeandikwa na mtu mwenye wivu na stress zake enzi hizo
Lucas Graham.