Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20200824-WA0121.jpg


Jr[emoji769]
 
We jamaa mwandiko mzuri huu wa jinsia ile ulifundishwa na nani!??

Umepata wapi hadi muda wa kuweka mikia katika kila herufi!??

Hongera kwa mwandiko wenye kuvutia
Amna imetokea tu umekua hivyo toka nikiwa mdogo naturally sijafanya jitihada zozote kuremba kaka...

Since then nikiwa school mtu alikuwa akiona daftari langu anajua mi msichana
Nimeibiwa Sana madaftari ya notes kwa huu mwandiko
 
I always had that dream like my dad before me so I started using JF to make it happen[emoji23][emoji23]

It was a big big world, but we thought we were bigger.
Pushing each other to the limits, we were learning quicker.
By eleven smoking herb, and drinking burning liquor.
Never rich, so we were out to make that steady figure.

Once I was eleven years old, my daddy told me “go make yourself some money or you’ll be hungry”.
 
Kafariki huyu mzee[emoji15][emoji15][emoji15]
Ndugu zangu kwa wale muda utawaruhusu tunategemea kumpumzisha *Dr Louis Shika Kidola* kesho saa 8 mchana Nyanguge mwili utawasili nyumbani saa 4 asubuhi kwa ajili ya sala na kutoa heshima then utapelekwa malaloni saa 7 tayari kwa mapumziko katika nyumba yake ya milele!!!
Kwa heri Jemedari Dr Shika Mzee wa mia tisa itapendeza!!!

R.I.P.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Unaandika vzr ila sidhani Kama umeufikia wangu.
Mimi sirembeshi herufi kwa kuzirefusha hivyo.

Halafu huo muda wa kushindana miandiko boss nautoa wapi?
Watu vichwa vya Moto mkuu
Mashindano haya ntayadhamini kwa fedha usjali itakuwa Kama compesantion to your wastage of time[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom