Hahahah hako muhimu mamaEx kumbe na wewe una kakitambi ka kufutia simu eh
Mazoezi tu hayo mzee..Hahahaha, hz mbio sasa zimekua nyingi
Aisee freshi, umepotea sana kipenzi sikuoni mahala kokote zaidi ya humuKabisa aise
Za siku
Mi pia napenda mwanamke avae hivyo, Very sexy looking 😍,,,nadhani ni umri tu!
Aisee freshi, umepotea sana kipenzi sikuoni mahala kokote zaidi ya humu
Hahahah kweli, maana humu hukosekani😆😆😆! Anyways mi nipo nipo leo wacha nishangae shangae humuHaha wewe ndiyo umepotea dear
Mimi hiki ndiyo kijiwe changu
Hahahah mbona mnatuonea jamani😆 acha kina Anna watupende tu...Kupendwa raha😁😁😁 Anna kwani unachagua Mchumba kwa muonekano? Si unajua vile wanaume wazuri kwa muonekano wanavyotesa!
Waache wao wakaka wachague kwa muonekano maana wanaonaga kwanza kisha wanapenda!
Haya fanya kuweka picha kompliti wifi nifanye kazi maana tabia nishaipenda!😀
Hahahah kweli, maana humu hukosekani! Anyways mi nipo nipo leo wacha nishangae shangae humu
Hicho kiunzi si changu jirani nimechangamsha comment tuKiunzi hicho umetegewa nenda utanipa mrejesho
Jirani utafanya ninuniwe aiseh kuna mtu namuonaga huku anamchabo mtu chake kwa jicho la tatu😎😎
😊😊😊jirani mjomba yupi au ushampata nini😅😅![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jirani nakuelewa sana, ngoja tuone nasubiri kupokea mahari yako kama mjomba
Jirani yangu ni changamoto 😅😅😅😅Jiraniiii weweeee, unakosaje mchumba unaishije bila msaidizi,
Hodi ya nini Elly? Ndiyo umeamka?Hodi
Hodi