Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Mfate wewe pm kwani shida iko wapi 🤗Ina maan ata PM hataki kuja jmn am feeling bad.moyo unaumia View attachment 1540483
Mfate wewe pm kwani shida iko wapi 🤗Ina maan ata PM hataki kuja jmn am feeling bad.moyo unaumia View attachment 1540483
Si ndo hapo sasa..😅😅mastress mengine ni ya Kujitakia tuMfate wewe pm kwani shida iko wapi 🤗
Kuna mtu kapotea ghafla kwenye huu uzi baada ya kula za uso sana, ghafla kuna mwingine katokea ila swaga zinafanana. Haya mie nawasalimia tu.
Good night.
We mzee unakwama wapi hebu Nenda Pm hukoHahahaha

Hahaha ila yahitaji moyo ikiwa hujamzoea huyo mkakaSi ndo hapo sasa..😅😅mastress mengine ni ya Kujitakia tu
Hahaha aiseeeWe mzee unakwama wapi hebu Nenda Pm huko![]()
UmenisusaHahahaha

Si weweNani?

Nan sasa wakati wewepole love.atakuja tu keshasoma ujumbe wako
![]()
Mfate wewe pm kwani shida iko wapi![]()

Mtext bhana kama una crush naye useme mapema itakusaidia sana maan utatoa kitu moyoni ....
Wakati mimi nimefanyaje MremboNan sasa wakati wewe
Wewe ukimuelewa mtu unamfuata Pm!??!Hahaha aiseee
Hili jimbo najipanga kutangaza nia kabisaaa ili nitoke ngoma droo na wanasiasa wanao wania majimbo ya kisiasa.Si wewe![]()
Basi atulie..kama kashindwa kutengeneza ukaribu au kumchana live😅😅bora akaushe tuHahaha ila yahitaji moyo ikiwa hujamzoea huyo mkaka
🙆♀️🙆♀️🙆♀️Wewe unaweza fanya hiviMtext bhana kama una crush naye useme mapema itakusaidia sana maan utatoa kitu moyoni ....
Wozaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh...🥰🥰🥰🥰Umenisusa![]()
Wewe ukimuelewa mtu unamfuata Pm!??!
Hahha maneno tu haya , nina aibu kichizi🙆♀️🙆♀️🙆♀️Wewe unaweza fanya hivi