Hahah Usiogope tumia 4-5-1 formation viungo wengi itasaidia...Hahahaha, PM siendi Mkuu ,umenipa tahadhari
Hahahaha hapana mm wa hapa hapa ,PM huko tushatahadharishwaHahah Usiogope tumia 4-5-1 formation viungo wengi itasaidia...
Jiraniiii weweeee, unakosaje mchumba unaishije bila msaidizi,Jirani tuendelee kuombeana siku akipatikana utakuwa wa kwanza kutambulishwa[emoji4][emoji4][emoji3344][emoji3344]
Hahahaha, hz mbio sasa zimekua nyingi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jirani nakuelewa sana, ngoja tuone nasubiri kupokea mahari yako kama mjombaWacha weeee[emoji28][emoji28][emoji28]basi sawa.na wewe naomba maombi yako ukishirikiana na jirani yangu Iceberg9
Hahahaha huyo mtu chake kaweka usela sana hapati mke leo, sasa my dear Chakorii huyo shehe anakesha club sio kanisani sasa tegemea kuangukia pua, atakurudia tu wewe ipo siku tuOhooo Amen [emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Huko kanisani utapata tu maana wengi Wana kimbilia huko rafiki.mtafute yule anaenena kwa lugha sana na kulia inawezekana akawa ndie mwenye uhitaji.
Huku pagumu mno..
Lakini rafiki ndo umeamua kuamkana wife live sio
Wanawake wa humu wa kishua sana au wanajua siasa sana, kiasi kwamba wanakushinda kwa hoja unapozipanga hoja zako,Hahahaha, Rafiki mm nazingua tu humu .Nina Mke mzuri ana sifa zote
Na pia wa humu sisawezi wakishua sana humu
Kiunzi hicho umetegewa nenda utanipa mrejesho[emoji28][emoji28][emoji28]ohoooo yeah rafiki I know [emoji28][emoji28]nimekuelewa...
Eti kupigana tafu ya kirafiki[emoji28][emoji28][emoji28]nitakuja unipigi hiyo tafu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Mzee umenyuka kweli kweli,View attachment 1540832
Asubuhi njema
Hahahaha, mm huwa nachekaga tuWanawake wa humu wa kishua sana au wanajua siasa sana, kiasi kwamba wanakushinda kwa hoja unapozipanga hoja zako,
Aah wapi kawaida tu mkula.Mzee umenyuka kweli kweli,
Akhsante na kwako pia mkuuView attachment 1540832
Asubuhi njema
Huo ukucha kazi yake nini?Good morning wajumbe.View attachment 1540805
View attachment 1540832
Asubuhi njema