Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
🤣🤣🤣 kuna fashion zingine zina wenyeweUmeona eenh! Na pia haihitaji ukuwe na kitambi sasa wengi wenye vitambi tulishalijua hilo mapema tukaona bora tuachane nazo tu ili kukwepa aibu na fedheha za kujitakia!![]()
Alokuita nani?
Hahhha mambo
Tunasubiri ugeuke dada
Wewe haujaweka Selfie karibia mwaka sasa![]()
Kwanza naomba nimuone mchumbaSasa kila nikikuambia uweke picha umegeuka ili nimpelekee hutaki ..picha zote unajificha. Hebu tuma kompliti basi



Achana na jeans mchumba...I like the way u are
Yaani ujue huwaga wananiponda Huku zile gauni zangu wanaita mifuko
Ila hizohizo wanakuja kuazima j2
Mimi hizo suruali huwa nawaambia zimeliwa na panya,nitawawekea viraka

Hahaha hili neno linaishi TansyHahahaha hilo neno hulisahau tuh
Ipo siku tu...
Unafatilia lakini darasa unalopewa kuhusu kuvaa jeans Anne?
Ukashalielewa naweka picha, wala sina tabu






Hahha vizuri vipi habari ya huko ?Hahaha hili neno linaishi Tansy
Nini tena
Zile za mwaka janaZipo mbona kule juu
Kweli eehAchana na jeans mchumba...I like the way u are![]()
???😁😁😁 Anna kwani unachagua Mchumba kwa muonekano? Si unajua vile wanaume wazuri kwa muonekano wanavyotesa!Kwanza naomba nimuone mchumba
Naomba unitumie picha yake pls![]()
Suruali za bwanga je ?Aisee
Bora hata ya kitambaa