Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Kwa Yesu ujanja kuokoka.mzima weweMambo
Kwa Yesu ujanja kuokoka.mzima weweMambo
Akhsante na kwako pia mkuuAsubuhi njema wote.View attachment 1540840
Hahahaha......Chakorii bhanaKwa Yesu ujanja kuokoka.mzima wewe
Eti hukuwahi kuwaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah kakufutia simu hako mkwe [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Sema huwa kinakujaga tu hiki kitu sikuwahi waza namie kitantokea ila naona kinanijia kwa kasi ya uchumi wa kati
Nani anakuficha?Sawa Mpenzi. Utakipata.
Miss you.
Michembe na maziwa ya mgando.Munakula nini?
Hahaha....nilitegemea/nilijua fika jibu la swali langu litakuwa michembe[emoji23]Michembe na maziwa ya mgando.
Yule msukuma mwenzio aloshindikana yuko wapi?Hahaha....nilitegemea/nilijua fika jibu la swali langu litakuwa michembe[emoji23]
Jael bhana
Nani sasa? Majukumu tu mdogo wangu.Nani anakuficha?
Hivi si nikiishiwa naweza kumwomba dada eeeh[emoji85][emoji85][emoji85]Nani sasa? Majukumu tu mdogo wangu.
Yaani nilimpigia simu kwanza kuhakikisha kuwa yupo ofisini. Nakuletea makaratasi soon.Hahaha nafanya maombi ukifika ukute ofisi zimefungwa..
Haiwezekani ufanye jaribio la kuvunja undugu.
Hamna hizo ni mbinu tu za kuweka mambo sawa maji yasizidi unga[emoji23][emoji28][emoji28]hivi tutachomoa kweli mbona mnatuandalia mbinu nzito jmni[emoji28][emoji28][emoji28]
Atakuwa ameenda kulimaYule msukuma mwenzio aloshindikana yuko wapi?
Kwa maombi nayoyapiga utafika eneo la tukio na ofisi usizione [emoji23]Yaani nilimpigia simu kwanza kuhakikisha kuwa yupo ofisini. Nakuletea makaratasi soon.
Mwambie alime sana nasubiri mchele.Atakuwa ameenda kulima
Wanafamilia sijui umewapa mlungula[emoji134][emoji134]Kwa maombi nayoyapiga utafika eneo la tukio na ofisi usizione [emoji23]
Nimekwambia migogoro yetu hii itatatuliwa kwenye kikao cha familia we unaanzaje kukimbilia kwa mwanasheria.?
Unaweza mdogo wangu.Hivi si nikiishiwa naweza kumwomba dada eeeh[emoji85][emoji85][emoji85]