T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,097
Hodi ya kuruhusiwa kuingia humu ndani....Hodi ya nini Elly? Ndiyo umeamka?
Hapana nimeamuka zamani Makiseo
Hodi ya kuruhusiwa kuingia humu ndani....Hodi ya nini Elly? Ndiyo umeamka?
Hivyo kumbeee...sio kwamba nyie ndo mnatafsiri vibaya.Hahahaha ,wakiwa humu JF wanakuwa wakishua ,au huoni pozi za humu
ZoëMarahaba
ChakoriiHivyo kumbeee...sio kwamba nyie ndo mnatafsiri vibaya.
Kwahiyo rafiki ndo umeamua kunikwepa kwa kunitilia tumashart sie😢😢😢🤪🤪🤪🤪Hahahaha, vigezo na masharti kuzingatiwa
EllyChakorii
Kumbe na zenu zimechanwa hadi mapajani



Kakitambi hakooo kanasogea mkwe, kweli tuko uchumi wa kati.View attachment 1540832
Asubuhi njema
Dada ukimaliza kusoma nakisubiriAsubuhi njema wote.View attachment 1540840

Usije tunakula.Hodi
Hahah kakufutia simu hako mkwe 😂😂😂!!! Sema huwa kinakujaga tu hiki kitu sikuwahi waza namie kitantokea ila naona kinanijia kwa kasi ya uchumi wa katiKakitambi hakooo kanasogea mkwe, kweli tuko uchumi wa kati.
Sawa Mpenzi. Utakipata.Dada ukimaliza kusoma nakisubiri![]()
😅😅hivi tutachomoa kweli mbona mnatuandalia mbinu nzito jmni😅😅😅Hiyo ipo kwenye mpira wa miguu pale timu inapochezesha viungo wengi katikati ya uwanja na kuimarisha safu ya ulinzi..
Kwenye maisha ya kawaida tunaweza itumia kama tahadhari na kuweka mikakati mingi kabla ya kufikia himaya ya adui.
Chakorii
MamboElly
Munakula nini?Usije tunakula.