Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Sijui alinifananisha huyu🤣🤣🤣![]()
![]()
Unataka uende uka msage na kumkoboa
Sijui alinifananisha huyu🤣🤣🤣![]()
![]()
Unataka uende uka msage na kumkoboa
Jirani tuendelee kuombeana siku akipatikana utakuwa wa kwanza kutambulishwa😊😊🧚♀️🧚♀️Jirani unajua hujawahi nitambulisha shemeji yangu
....Jirani tuendelee kuombeana siku akipatikana utakuwa wa kwanza kutambulishwa![]()
Hebu toa hizo nukta nukta weka maneno rafiki😅😅....
Nzuri, Rafiki ,hizo nukta ni msisitizo tu mnaita kukaziaHebu toa hizo nukta nukta weka maneno rafiki
Habari ya asubuhi lakini...
Nikumbushe maana nakaribia kusali misa ya asubuhi, nikuombee upate Mr eeh
Ewaaaaaaa rafiki 😄😃Nikumbushe maana nakaribia kusali misa ya asubuhi, nikuombee upate Mr eeh
Sawa hilo limeisha maana nami Niko ktk maombi ya kutafuta ,Rafiki ,kisha mchumba ,mwisho awe mkeEwaaaaaaa rafiki![]()
Ohooo Amen 🧚♀️🧚♀️🧚♀️Sawa hilo limeisha maana nami Niko ktk maombi ya kutafuta ,Rafiki ,kisha mchumba ,mwisho awe mke
Naona humu pakugumu, nimehamia Kanisani kwa waumini
Hahahaha, Rafiki wife hakanwi namtafutia msaidizi wa KaribuOhooo Amen
Huko kanisani utapata tu maana wengi Wana kimbilia huko rafiki.mtafute yule anaenena kwa lugha sana na kulia inawezekana akawa ndie mwenye uhitaji.
Huku pagumu mno..
Lakini rafiki ndo umeamua kuamkana wife live sio
Kwahiyo unamtafutia mchepuko(in joti’s voice)😅😅Hahahaha, Rafiki wife hakanwi namtafutia msaidizi wa Karibu
Hahahaha, Rafiki mm nazingua tu humu .Nina Mke mzuri ana sifa zoteKwahiyo unamtafutia mchepuko(in joti’s voice)
Rafiki umetisha.kama ni msaidizi huku utapata..tatizo watatulia?wataacha kuomba hela??mana ndo ugonjwa huu.
Akipatikana mwenyewe kukuelewa nitakuita maana naonaga majukwaani huko![]()
Hahahaha, ahsante Rafiki, potezea tu, humu ni chit chat tuKwahiyo unamtafutia mchepuko(in joti’s voice)
Rafiki umetisha.kama ni msaidizi huku utapata..tatizo watatulia?wataacha kuomba hela??mana ndo ugonjwa huu.
Akipatikana mwenyewe kukuelewa nitakuita maana naonaga majukwaani huko![]()
Asante rafiki na Mungu aendelee kukutunza uendelee kumsifia wife kila mara..sio wanaume wote huwasifia wake zao🤛🤛🤛🤛🤝🤝🤝🤝👌👌👌👌Hahahaha, Rafiki mm nazingua tu humu .Nina mke mzuri ana sifa zote
Na pia wa humu sisawezi wakishua sana humu
😅😅😅ohoooo yeah rafiki I know 😅😅nimekuelewa...Hahahaha, ahsante Rafiki, potezea tu, humu ni chit chat tu
Km kutumiwa hela iwe ki Rafiki ktk kupigana tafu tu kawaida ,sio mizinga km tuko jeshini
Hahahaha, vigezo na masharti kuzingatiwaohoooo yeah rafiki I know
nimekuelewa...
Eti kupigana tafu ya kirafikinitakuja unipigi hiyo tafu
![]()
Hahahaha ,wakiwa humu JF wanakuwa wakishua ,au huoni pozi za humuAsante rafiki na Mungu aendelee kukutunza uendelee kumsifia wife kila mara..sio wanaume wote huwasifia wake zao
Kama wale wa mtaani ndo wa huku rafiki,,sasa wale wenye maisha ya kawaida kabisa huwa wanatokeaga sayari gani??
Sawa bhnaHapana nipo,naona uko busy