Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Yani mtu anatulia mwenyewe 😁😁Hizi akili ni zangu kabisa [emoji1787][emoji1787]
Yani mtu anatulia mwenyewe 😁😁Hizi akili ni zangu kabisa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]hakika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nikiwa it's okay
Watoto ni baraka na single mother ni binadamu Kama binadamu wengine.
Siyo wanyama wale Wala ndege.
Hongera Sana madam wangu, tunaitaji wanawake watetea haki Kama ww,Yapo
Utayaona kadiri utakavyoendelea kujifunza.
Sasa nguvu za kugombana nikose,hadi za kutype Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol! siwezi.
Yaani Leo bila yule kuacha tungekesha pale.
Mimi huwa naongea ninacho kiamini na huwa sipo tayari kubadili msimamo katika kitu
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]hakika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kwel aiseehKwa kweli! Ukiwasikiliza unaweza ukaona dunia haina maana kabisa kumbe ni wao wenyewe tu!
SureYeah you better keep it that way friend! Life is too short for all that crap!
hebu fanya kunitag[emoji2957]Sina nyingine
Yaani hiyo nimekuwekea namba ya comment yenye picha yangu.
Labda uniambie nikutag
Nilichukua[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera Sana madam wangu, tunaitaji wanawake watetea haki Kama ww,
Hivi hukuchukua hata form ya viti maalum[emoji41]
🤔 🤔Akili zangu za 2017 😁😁😁😁View attachment 1533114
Ikawaje? Au wajumbe wakafanya yao[emoji16][emoji16][emoji16]Nilichukua[emoji23][emoji23][emoji23]
🤔Yani mtu anatulia mwenyewe 😁😁
kuna watu mna miandiko duhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia
Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272
Mbona nimekutaghebu fanya kunitag[emoji2957]
NikapitaIkawaje? Au wajumbe wakafanya yao[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna watu mna miandiko duhh
huu mwandiko kwenye ms word, excel haupo kweli kama haupo wauongeze aiseeee
Sasa si niliweka Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atajuaje kama ndio wewe
hongera aiseee👏👏👏👏 mimi nikiandika kwenye plain paper mwandiko unakaa kama ramani sijui ya wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna rafiki yangu mmoja alishawahi kuniambia hivi wewe unaandika au unatype na machine?
Wacha bwana!!!!Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.
Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, nimejitahidi sana kufake na nilijua nitafika mbali ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimejikuta nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.