Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah! Haya mambo haya... Kuna siku ukimya huuu kutojishughulisha na stranger nikaambiwa dada inaonekana una dharau za viwango. Nilijiskia vibaya rohoni ila ndiyo nikaendelea kuuchuna tu.

Kwanza mada inahusu nini? Maana nilivyotokea ghafla..

Sijui kwanini watu wakimya huwa tunatafsiriwa hivyo. Yaani mtu unajishusha kukaa kimya ili uwe msikilizaji zaidi kuliko muongeaji unaambiwa unajisikia binadamu hawana jema just do you.

Hii mada hata sikumbuki ilipoanzia. Ila tangu jana tumejikuta tu tunaongelea habari za upole tu.
 
Kweli mwandiko mzuri sana lakini unachanganya herufi kubwa na ndogo, nitakukata marks [emoji1787][emoji1787]

View attachment 1532161
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia

Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]
IMG_20200808_215940_5.jpg
IMG_20200715_125724_4.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia

Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272
Siku nikiambiwa niandike pages mbili kwa mkono nadhani vidole vitauma sana.
 
Siku nikiambiwa niandike pages mbili kwa mkono nadhani vidole vitauma sana.
Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia

Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272

[emoji7][emoji7] una muandiko mzuri
 
Back
Top Bottom