Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unadhani hata ni wanasaikolojia basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wahuni flani wamejipachika hicho cheo Cha upiga ramli[emoji2092]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ramli chonganishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ramli chonganishi
Mimi nawaonaga Kama comedian hivi maana umishamzidi hoja anakuoachina uanaharakati,Mara usingle mother,Mara anakupachika miaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani anatapatapa Kama maharage yanayofurumia motoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nilipita kule nikaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bhandu bhikuhangajika asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera Sana maana wengi wao huwa wanakosaga hata nguvu ya kujitetea

Hayo mazuri ni yapi?[emoji4][emoji4]
Yapo
Utayaona kadiri utakavyoendelea kujifunza.

Sasa nguvu za kugombana nikose,hadi za kutype Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol! siwezi.
Yaani Leo bila yule kuacha tungekesha pale.

Mimi huwa naongea ninacho kiamini na huwa sipo tayari kubadili msimamo katika kitu
 
Back
Top Bottom