Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
hao psychologist tuishi nao tuu ivo ivo
Kwa kweli! Ukiwasikiliza unaweza ukaona dunia haina maana kabisa kumbe ni wao wenyewe tu!
hao psychologist tuishi nao tuu ivo ivo
Sure ilikuwa bomba sana , uzi ulikuwa addictive huu .Aahh mwanzoni watu walikuwa wanamwaga picha balaa ilikuwa hamna maneno maneno zaidi ya kusifiana tu. Daah usinikumbushe enzi zile huu uzi bado uko mbichi we used to have fun kwa kweli.
Mtakatifu hebu niite kwenye huo uzi nikaupitie nowYapo
Utayaona kadiri utakavyoendelea kujifunza.
Sasa nguvu za kugombana nikose,hadi za kutype Jamanilol! siwezi.
Yaani Leo bila yule kuacha tungekesha pale.
Mimi huwa naongea ninacho kiamini na huwa sipo tayari kubadili msimamo katika kitu
just joking ,me huwa Sina time na personal life ya mtu
Rafiki miguu unayo ,iko vzrwewe tena rafiki
napokea kwa jina kuu
Yaani dunia isiwe na maana kwa ajili ya wapiga ramli wachache ??Kwa kweli! Ukiwasikiliza unaweza ukaona dunia haina maana kabisa kumbe ni wao wenyewe tu!




Mimi Hadi nilikuwa naumwa kichwa kwa sababu ya usingizi maana muda wote nilikuwa nakodoa macho humu.Aahh mwanzoni watu walikuwa wanamwaga picha balaa ilikuwa hamna maneno maneno zaidi ya kusifiana tu. Daah usinikumbushe enzi zile huu uzi bado uko mbichi we used to have fun kwa kweli.


Huo ujasiri wa kujiweka humu nautolea wapi rafiki...Rafiki miguu unayo ,iko vzr
Ukiangalia replies zangu za juu juu tu utauonaMtakatifu hebu niite kwenye huo uzi nikaupitie now
Hahahaha, wkt nimeona Pic umeweka au sio weweHuo ujasiri wa kujiweka humu nautolea wapi rafiki...
Ukiangalia replies zangu za juu juu tu utauona
Nimeangalia naona sioni najionea tabu tuUkiangalia replies zangu za juu juu tu utauona
Yah
Changamsha genge na bro wetu nyenyere
Mimi nilikuwa naona Kama comedy flani,halafu siku hizi kumepoa kule japo Kuna dada fulani anajitahidi kukuchangamsha
Sio mimi rafiki yangu...Hahahaha, wkt nimeona Pic umeweka au sio wewe
Wacha weee...Mpk sasa kupitia huu Uzi nishajua memba wawili , na mitaa miwili
SawaSio mimi rafiki yangu...
KazanaMpk sasa kupitia huu Uzi nishajua memba wawili , na mitaa miwili
ChakoriiWacha weee...
Mie ndiyo maana nimehamia CC tu. MMU huwa naenda mara moja moja sana nikiona labda kuna uzi umechangamka.
Sijui kwanini mie ni ngumu kumjudge mtu kutokana na maandishi yake humu! Halafu wengi wenye tabia ya kujudge watu ndiyo wale waliomuamini hadi yule umomi kuwa kweli ana stress za maisha na aliamua kujiua sababu ya stress kumbe mwenzao anawachezea akili tu hii miandiko yetu humu inawadanganya sana watu!










HujamboKazana