Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,226
Ile uliyocomment juzi Kati hapa sikufutaKwani wewe tangu lini ukaweka picha zako sasa
Ile uliyocomment juzi Kati hapa sikufutaKwani wewe tangu lini ukaweka picha zako sasa
Aisee[emoji7]
[emoji1787]hongera aiseee[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] mimi nikiandika kwenye plain paper mwandiko unakaa kama ramani sijui ya wapi
Yes jana niliiweka robo leo nimeongeza kidogo....i think ipo bado sikuitoa
sura nimeweka ila nikafuta ghafla hahahaTunaomba tuone sura
Naomba nione [emoji4]sura nimeweka ila nikafuta ghafla hahaha
Ile uliyocomment juzi Kati hapa sikufuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la heri madam ntakujaa kukupigia kampeniNikapita
Nakwenda kutetea haki vizuri October [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la heri madam ntakujaa kukupigia kampeni
Naomba muonyeshe na zile za juzi katiMkuu ismail hassan picha ya Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile za juz kati mwenyew nmezipoteza at least hii nmekumbuka comment #Naomba muonyeshe na zile za juzi kati
Wameniandama humu wanasema Mimi nawadanganya[emoji1787]
Ngoja nikapashe mdomo [emoji4][emoji4][emoji4]Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?
Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?
#66397[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile za juz kati mwenyew nmezipoteza at least hii nmekumbuka comment #
Nimeweka umechelewa nimeitoa mkuu....#66397
Nashangaa ananiambia haoni.
Nimemtag ila haoni
Naomba unisaidie kumuonyesha..labda simu yangu ina matatizo
Aisee[emoji24][emoji24]Nimeweka umechelewa nimeitoa mkuu....
Mkuu imekaa mbona, ngoja badae kidogo nitaweka....Aisee[emoji24][emoji24]
Tatizo unatoa haraka mno
Nimeona Ila fanya kutuma nyingne nikuone vzr na mm nikufananishe na mtu uliyefanana nae