Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,354
- 17,687
Mi mpole bana nataka kutawaliwa afu sisepagi.Hahaha sijui kama umenielewa mkuu! Mimi kiuhalisia siyo kauzu wala mbabe ila humu ndiyo huwa nafake ukauzu na ubabe ili tu nisisumbuliwe pm!
Sababu najua wanaume wengi wa kiafrika mnapenda wanawake wapole na wanyenyekevu ili muwatawale vizuri! Wababe huwa mnapiga na kusepa tu!
Naam. Ungo airways mafuta ushuzi wako tu.
Hiyo inaitwa jamba upae. Kwa mtu kama mimi niliyezoea kula maharage kila siku siwezi kuishiwa mafuta angani hivyo nina uhakika wa kufika salama.
Ndo umeiga wee hapo muandiko amaiz, uwiiiiiihAlikuwa mwalimu.
Siku hizi anacheza tu na wajukuu nyumbani.
Ameninyooshaga sana mama yangu,alikuwa haangaalii ulast born wala nini..ikifika kusoma na kuandika anafinya masikio balaa.
Ana mwandiko mzuri sijapata kuona.
Ngumu sana kuficha identity, sijui unawezaje lakini muda mwingi mwandiko wa mtu unaweza kutoa taswira halisi ya jinsi alivyo. Imagine mtu yupo jf tangu 2010, anaweza kufake lakini kuna mahali tu atashindwa.
Plz weka picha haraka sanah, nataka kuona hyo uliyofutaMr. Lips
You're missed..
This coming Thursday let's go to via via...
Jamani..
Ila safari hii sijawadanganya
Mam nikupe zawadi gan, plz iwe kubwa iendane na thamani yako, nimependa hili andiko haswaaahOhoooo yaani JF inatakiwa ujichunge sana unachoandika kuna wanasaikolojia humu wanajua kumsoma kila mtu kutokana na anachoandika. Ndiyo wale wazee wa kuleta personal attacks sijui oh una stress sijui wewe single mother mara kimeenda kimerudi kimepanda kimeshuka mtu anajikuta anakujua kumbe anaropoka tu!
Sijui ila nilisikia eti humu watu ndiyo huandika ule uhalisia wao yaani yale yaliyo mioyoni mwao kwa sababu ya hizi fake ids! Waii mimi niko tofauti sana aise siwezi kuonesha uhalisia wangu 100% humu yaani mie JF nafake kuanzia identity hadi personality mtu anaweza akadhani ananijua kumbe anajua kile ambacho mimi ndiyo nimetaka ajue!
Ofcourse kuna mengine tunaongea humu ni ya ukweli. Ila huwa tunaongea yale ambayo ni common na hata mtu akiyajua haina shida.
Tena huwa tunaongea yale ambayo hayatoi clues mtu kukujua personality yako kiundani zaidi! Anyways acha waendelee tu na saikolojia zao!
Mam naomba hiyo picha, a hope ulisave plz nipatieYes, all that.
Duuh kumbe watu bado wako macho
Huhuhuhuhuh but its Gud.Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.
Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, na nilijua nitafika mbali katika kufake ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.
Mam nikupe zawadi gan, plz iwe kubwa iendane na thamani yako, nimependa hili andiko haswaaah
Jamaniiiiih wee taja kwan ugumu uko wapi hapa? Tena umepewa fursa uchague na iwe kubwa bahati iliyoje hapo.mwee we mtoto mbona unanitia majaribuni, nikikutajia hiyo zawadi ninayotaka si utanishangaa bure.
Mam naomba hiyo picha, a hope ulisave plz nipatie
Basi kuanzia leo uwage unasave, km ie sipo sawa mamMwe sikusave mwaya ungeniambia niwe nakuwekea
Jamaniiiiih wee taja kwan ugumu uko wapi hapa? Tena umepewa fursa uchague na iwe kubwa bahati iliyoje hapo.
Basi kuanzia leo uwage unasave, km ie sipo sawa mam
Aina ipi specify sasa hapo.Hahaha basi mimi nahitaji kagari tu mdogo wangu
TanteeeeehSawa dear
Mi mpole bana nataka kutawaliwa afu sisepagi.