Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Sijui wanakwama wapiMimi hii hali imeanza kunisumbua muda sana nikachukilia kawaida tu ila tangu juzi sipati notification ndipo nilipo gundua kuwa app imeanza utopolo wake.
Sijui wanakwama wapiMimi hii hali imeanza kunisumbua muda sana nikachukilia kawaida tu ila tangu juzi sipati notification ndipo nilipo gundua kuwa app imeanza utopolo wake.
Mkuu unaandika vzr sana hadi raha , nataman uwe mwalimu wangu wa mwandiko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia
Nina tatizo hilo na kwenye kuandika H[emoji1787][emoji85]View attachment 1532270View attachment 1532272
Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.
Zile umeficha sura[emoji1][emoji1][emoji1]Mbona ipo juu hapo
Njoo nikufundishe[emoji847]Mkuu unaandika vzr sana hadi raha , nataman uwe mwalimu wangu wa mwandiko [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi navyocharanga kama bata, nikimaliza kuandika huwa hata sitaki kuangalia nilichoandika
Basi kuna picha uliipita.Zile umeficha sura[emoji1][emoji1][emoji1]
Asante sana mkuu itabidi nikutafute aiseee [emoji4]Njoo nikufundishe[emoji847]
Bure kabisa
Fanya uni tag kwa hyo pic[emoji4]Basi kuna picha uliipita.
Kuna moja nimeachia sura.
Karibu mwanafunzi wangu.Asante sana mkuu itabidi nikutafute aiseee [emoji4]
Asantee,Ila ni mwanafunz aliyemaliza ngazi zote za elimu na mwandiko wake kama bata[emoji1][emoji1][emoji1]Karibu mwanafunzi wangu.
Hatimaye nimepata mwanafunzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment # Kuna picha yangu hiyo mitaa.Fanya uni tag kwa hyo pic[emoji4]
Wala usijali[emoji23]Asantee,Ila ni mwanafunz aliyemaliza ngazi zote za elimu na mwandiko wake kama bata[emoji1][emoji1][emoji1]
Sawa Mkuu Ngoja niitafute[emoji41]Comment #46020 Kuna picha yangu hiyo mitaa.
Tatizo mvivu kuangalia.
Juzi tu nimeweka picha,angalia vizuri utaikuta yenye sura.
Woyooo Madam Annie kesho nakuja tuanze[emoji4][emoji4]Wala usijali[emoji23]
Tutaanza upya kabisa
Kabisaaaaaah yaanKuna muda mtu anakukera unaamua tu kutoa povu hapo hapo