ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,095
- 129,091
Huenda kwa vile una mwandiko mzuri!!!Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.