cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,264
Raba kali.
Leo kanisani mbele yangu alikaa sister ana raba Kali kinoma, mpaka nilitamani nimguse niisifieila nikaona aibu





ungemgusa tyuuh dea, na kuisifia juu.Raba kali.
Leo kanisani mbele yangu alikaa sister ana raba Kali kinoma, mpaka nilitamani nimguse niisifieila nikaona aibu





ungemgusa tyuuh dea, na kuisifia juu.Unge selfika na sie tuone vumbi hilo lol.8 8 Arusha vumbi tupu yan hata mzuka wa kuselfika ukakata
Nililazimishwa kutoka tukapige misele na vichaa wangu
View attachment 1532507
Walivyofika maeneo yao nilivunjwa miguu,
way out of budget
View attachment 1532508
Leo napitwa na picha nipo hapahapa naonaView attachment 1532504
Yaani sioni.Bado hazionekani !!
Mkuu nmekuona japokuwa nilikuwa natarajia ntakuta passport sizeComment #46020 Kuna picha yangu hiyo mitaa.
Tatizo mvivu kuangalia.
Juzi tu nimeweka picha,angalia vizuri utaikuta yenye sura.



Naruhusiwa kukutandika fimbo ukikoseaWoyooo Madam Annie kesho nakuja tuanze![]()
?
Mpe salam zangu, tunafurahi kusikia yupo salama.
#KivuliView attachment 1532445
Afro ya kizushi
View attachment 1532446
My friend #shot it
View attachment 1532447







Juzi hapa nimeweka #66427 na nimepanda juu nimekuta like Yako halafu unasema hukuona.Mkuu nmekuona japokuwa nilikuwa natarajia ntakuta passport size![]()
#KivuliView attachment 1532445
Afro ya kizushi
View attachment 1532446
My friend #shot it
View attachment 1532447



Chombo uliyopigia misele hapo ndani tamu balaaBado hazionekani !!
App ishaanza mapepo Yakeohoo

That’s beautiful![]()
![]()
MweeChombo uliyopigia misele hapo ndani tamu balaa


Mje na hela za kutosha, then unataka kujua kuhusu nini? Specify...Depal naomba muongozo wako, yaani unipe details kuhusu jiji la Arusha, maan nimeambiwa likizo napelekwa vacation huko, kwahiyo nahitaji kujua mengi zaidi kabla sijafika.
Zoë Saint Anne nafasi za wasindikizaji zipo so kazi kwenu.