Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Wewe huwa unatuwekea mwandikooHuu uzi naufuatilia kuliko watu wanavyodhani,hasa picha
Wewe huwa unatuwekea mwandikooHuu uzi naufuatilia kuliko watu wanavyodhani,hasa picha
Wewe huwa unatuwekea mwandikoo
Raba kali.
Dah! Haya mambo haya... Kuna siku ukimya huuu kutojishughulisha na stranger nikaambiwa dada inaonekana una dharau za viwango. Nilijiskia vibaya rohoni ila ndiyo nikaendelea kuuchuna tu.Halafu hata mimi nahisi ninakuwa huru zaidi ninapomzoea mtu. Kama mtu sijamzoea nakuwa kama bubu yaani sina cha kuongea zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu basi.
tuwekee picha ya mkono ukiqndika mwandiko
Na kidevu basi mkuu
Nimekazana kuangalia hapo kwenye kioo nikahisi labda ulitokea 😜
Haha immediately back up requested!! Hufai weweMayday mayday
3rd k vant is down
I repeat
3rd kvant is down
We request immediate backup over View attachment 1531395
Kurudia sio dhambii bbyPicha ya mkono nilishaweka huko juu![]()
Hahaha platie 🙌No backup i 'repeat no backup, y're all alone
Roger thatHaha immediately back up requested!! Hufai wewe
8 8 Arusha vumbi tupu yan hata mzuka wa kuselfika ukakataNanenane Bariadi-Simiyu View attachment 1531513
Natural all day,everyday
Eti Hawachi ile offer ya buku buku kwa kila mwana JF kama nikiweka picha bado ipo?
View attachment 1298079
Mara nyingine Bora ukae kimya ila Kuna muda kuongea pia inaweza kusuluhisha ugomvi huo . basi wewe utakuwa ni introvert
Mie muongeaji naweza ongea na mtu yeyote yani bila kumzoea kihivyo nikijisikia... Rafiki zangu huwa wanasema Sina aibu ila najikuta tu nishaongea tuh ..
Huu uzi naufuatilia kuliko watu wanavyodhani,hasa picha