Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizo ndiyo nzuri sasa
Savanna na Smirnoff Ice pia ziko vizuri
Wine ndiyo usisema mie sijui wine gani sinywi aisee
Whisky na Spirit nazo twende

Bangi na Cigar sasa [emoji39][emoji39] [emoji855][emoji855]
Hapa acha nikae kimya tu
Haha bia me hizo Heineken labda nikifulia maana zile buku 3 tu. Wine ni nzuri mno, nikikosaga usingizi nakunywa lions hill yan ni chap tu napotelea mawinguni.

Sprit hapana mie
 
Hizo ndiyo nzuri sasa
Savanna na Smirnoff Ice pia ziko vizuri
Wine ndiyo usisema mie sijui wine gani sinywi aisee
Whisky na Spirit nazo twende

Bangi na Cigar sasa [emoji39][emoji39] [emoji855][emoji855]
Hapa acha nikae kimya tu
@Zoë umesema bangi na nini? Kumbe upo njema sana, kuna dada nafanya nae anakula bangi wanaume wasubiri.
 
Back
Top Bottom