Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Mimi yangu niandikie kesho.. maana mimi ni special caseDepal....
Kesho naona ina mambo mengi,ngoja nianze muda huu...
Unazo kilo 53 na lengo letu uwe na kilo 58 to 60:
Endelea kupunguza matumizi ya limao kwa wingi(jitahidi ili tusitwange maji kwenye kinu).
Jitahidi ule wanga na nyama kila upatapo nafasi na hapa ule hata kama hauna njaa iilimradi iwe ni mlo wa mara tatu kwa siku.
Weka msisitizo kwenye matumizi ya vitu vyenye sukari kama Juice,Cake na soda;angalizo usizidishe matumizi yake nayo yana madhara kiafya..
Pata muda kupumzika pale utokapo kwenye Shughuli zako za kila siku at least uwe na masaa yasiyopungua manane ya kulala na kuifanya akili Irelax...
Chips na Pork usiziweke mbali pia angalau kwa wiki upate mlo wa aina hii.
Imani yangu ukiyafanya haya kwa kiasi utafikia lengo nzuri fanya na mazoezi mepesi ili isije kuwa shida kubalance cholesterol .....



Sent using Jamii Forums mobile app







