Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,927
- 100,026
Hahahaha, nakuelewa vzr wa kishua[emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha ndo haya haya mtu chake hakuna mengine.unaweza kujibana weeee mwisho wa siku unafika mbinguni unasikia sauti ikisema...”mlijiachia vya kutosha duniani?hapo ndipo utapotamani kurudi [emoji1787][emoji1787]”