Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Naomba kuona picha ya kitambi jamani[emoji3]
[emoji848][emoji848] woii wewe mrembo ulipotelea wapi jamani ??
Naomba kuona picha ya kitambi jamani[emoji3]
Hahahaha, naiombaMe ninayo
Leta kwanza donge nonoHahahaha, naiomba
MmmmhHaya basi nakumbembeleza weka picha mpendwa.
Hahahaha, unadeka ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]umenifokea
Sijaona pichaLeta kwanza donge nono
Zoë popote ulipo naomba kuona picha yako, kabla sijakugeuza chuma ulete wangu, [emoji2][emoji2][emoji2] naomba picha bhana dea lol
Yah
Ila ule mwaka siji kuusahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulinipeleka kama feni mbovu.
Usiombe ukamatwe semester ya mwanzo.. yaani semester inayofwata mtu unatetemeka kama umemwagiwa maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya wasomi hayaHahaha
Nakumbuka sup yangu ya mwaka wa kwanza nililia kabisa. Sema ndiyo ilikuwa ya kwanza na mwisho....
Hahahaha Heaven Sent akituma na mimi nitatuma! Kwahiyo anza kwanza kumuomba yeye! [emoji23][emoji23]
Sawa boss [emoji41]ila usinifukuze kazi ya kuuza visheti buzaHaya basi nakumbembeleza weka picha mpendwa.
Kwa mbaliiiiii [emoji1787][emoji1787]sema awe keHahahaha, unadeka ?
Watume kwanza tuoneHahahaha, unadeka ?
Weka picha basi. Kwani unasubiri mbembelezo wa rangi gani?Watume kwanza tuone
Sasa jamani kwani coca ametaka picha yangu?
Soon[emoji3596][emoji1]
Nilituma 2 boss wangu[emoji23]sema niendelee kutumaWeka picha basi. Kwani unasubiri mbembelezo wa rangi gani?
AseeWeka picha basi. Kwani unasubiri mbembelezo wa rangi gani?
Endelea boss 😍Nilituma 2 boss wangu[emoji23]sema niendelee kutuma