Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Me mwenyewe nilipataga ya first semester sema nikapata mshauri mkongwe wa chuo akanifundisha kucheza na beats hata sikuhangaika sana tena.
Wakabaki wale wanoko wa assignment tu kuhangaika nao kwenye floors kuomba maksi [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo wa semester ni mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mwalimu hajanizungusha bado kwenye korido..kama hataki tu kufanya fair ni bora tu nirudi Sept kuliko kwenda kumlilia hovyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba Mungu upone.
Mimi mwenyewe nilikuwa naogopa ila miaka ikasogea na hatimaye nikashikwa.
It's possible japo ni kazi sana.
Yaani miaka yote 2,3,4 au 5 yote uchomoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh mie huyu nna bado miaka km yoteeh, ntachomoka kweli lol
 
Back
Top Bottom