Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
M tower
M tower
Hahah!Naandaa pepa la kumsapisha St Anne hapa dodomaView attachment 1528175




.Unaogopa september conference







Dea na wee weka yako nkuone hata kidogo,![]()
Ndo nasubir hapa hivoooh dea,Usijali mwaya utaniona tu
Siku iliponiita akili ilinikaa sawa.Unaogopa september conference![]()
Huku save unitumie Mkuu ? Zawadi ya donge nono utapataNgoja nifute Dear...
Pole.
Tulia wewe 😆Huku save unitumie Mkuu ? Zawadi ya donge nono utapata
Sikufahamu bwana, kibarua kiote majani me ndiyo boss wako? Me mbona ni mpika visheti Buza secondary?Ningeweza tuma full but kibarua kitaota majaniam sure unanifahamu ila hujui kama ni mimi
![]()
Mwenye hy picha nampa donge nono,akinitumiaTulia wewe![]()
HahahaSiku iliponiita akili ilinikaa sawa.
Ila nshakuwa legend,miaka nenda miaka rudi nishazoea stress zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ninayoMwenye hy picha nampa donge nono,akinitumia
Sikufahamu bwana, kibarua kiote majani me ndiyo boss wako? Me mbona ni mpika visheti Buza secondary?




umenifokeaKuna mwaka nilitaka kuchizika.Hahaha
Nakumbuka sup yangu ya mwaka wa kwanza nililia kabisa. Sema ndiyo ilikuwa ya kwanza na mwisho....
Haya basi nakumbembeleza weka picha mpendwa.umenifokea
Ndiyo ukubwa huo