Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Mlinzi wa buza secondary [emoji16]usinikaneSasa mbona Sikufahamu? Hebu toa hayo madude dude usoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh mie huyu nna bado miaka km yoteeh, ntachomoka kweli lol
Kilevi class B.
Safari hii kajizuia na Helment za pikipiki sijui.
Emoj zake hata sizielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katuwekea kofia za pikipiki.Me ananichosha jamani. Sijui anachokiogopa ni kipi hasa... virgo man toa hayo madude basi
Duuuuuh weee dea acha tyuuuh, yaan mie nikifiria sup ndo moyo unakuwa mdogo aaaah
Ngongona ndiyo nini?Yaani katuwekea kofia za pikipiki.
Sijui shida nini [emoji849],au wanajua sie Watu wazito!?!!!
Huku wengine tunashinda ng'ong'ona kuchoma mahindi Sasa sijui wanatuogopea Nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza usipate.Duuuuuh weee dea acha tyuuuh, yaan mie nikifiria sup ndo moyo unakuwa mdogo aaaah
Mmmmh aseeUsiku mwema jamani. Saint Anne nakupa kazi hiyo Virgo Man akipost picha pls screenshot kesho utanipa.
Nilikuwepo
Sawa
DuhSasa mbona Sikufahamu? Hebu toa hayo madude dude usoni
HahahahaMe ananichosha jamani. Sijui anachokiogopa ni kipi hasa... virgo man toa hayo madude basi
Gugo inasema hivi.Ni hapa.
Hahahaha, maramae Mme force mpk MTU kaweka duh si mchezoYaani katuwekea kofia za pikipiki.
Sijui shida nini [emoji849],au wanajua sie Watu wazito!?!!!
Huku wengine tunashinda ng'ong'ona kuchoma mahindi Sasa sijui wanatuogopea Nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh asee
Haha hebu jizuie basi
Aaaah dea maisha ya chuo yana changamoto nyingi, unaweza kupambana na kuruka kihunzi,Unaweza usipate.
Kila mtu na akili yake mwaya.
Ila yale maisha huwa yana raha yake..yaani unasoma unaelewa fasta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app