Niko hapa nasubiri[emoji1787][emoji23]neno lako ni amri kwangu [emoji23][emoji23][emoji23]nitatii sheria bila shuruti
Walaaa.Nikupe kitambulisho cha NiDA ama birth certificate?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilijitahidi mazoezi yamenishinda,
Nimeshafunga ndoa na kitambi changu.
Wewe unawezaje eti!??
Okey.Atakuja kusema kama ni yeye.
Aisee..
Hahaha,ila bora wewe naona unamorali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi mwenyewe ni tia maji tia maji.
Ukiwa na kampan kidogo inasaidia.Hahaha,ila bora wewe naona unamorali.
Mie labda nitafute kamba nianze kwa hatua..
NiceBabe nimezihifadhi, utaziona zote.View attachment 1528151
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]that's my babe! Kuna app naweka ili nitoe hilo giza hapo[emoji23][emoji23]Babe nimezihifadhi, utaziona zote.View attachment 1528151
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]that's my babe! Kuna app naweka ili nitoe hilo giza hapo[emoji23][emoji23]
Moyo umeanza kudunda nikiwa njiani wallah!!![emoji8][emoji8][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Just come home, hutotoa giza tu[emoji12]
Naomba kuona picha ya kitambi jamani😀Nilijitahidi mazoezi yamenishinda,
Nimeshafunga ndoa na kitambi changu.
Wewe unawezaje eti!??
Angalia usije zima, we still need you.Moyo umeanza kudunda nikiwa njiani wallah!!![emoji8][emoji8][emoji23]
Hahah Carb!!nilikumiss ulipotelea wapi!??Naomba kuona picha ya kitambi jamani[emoji3]
Carba[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Naomba kuona picha ya kitambi jamani[emoji3]
..and I still need to be next to you, teh!!Angalia usije zima, we still need you.
😂😂hivi hujaacha ubishi tu?Hahah Carb!!nilikumiss ulipotelea wapi!??
Kwani kitambi changu hukijui!??