Umetubariki sana leoNi bahati tu kwa leo sbb nilikuwa busy then network ya leo huku nilipo ni Mungu ndiyo anajua
Yako iko wapi?Hahah hebu iweke sasa..
Wewe na Depal wapi na wapiYako iko wapi?
Kama umeshamuona Depal basi hesabia umeniona Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uige mfano sasa!!Yaani Leo Hadi Mimi nimeikuta jioni
Sasa hivi ndivyo inavyotakiwa picha ziwekwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
KwakweliYa 8 8
Ni sawa pia
Jf ina balaa SanaDepal umeifuta lakini eti tulokuquote bado ipo. Jf imeanza mabalaa yake![]()






Tangu lini umekuwa stand au ukili?
Yaani




Okey.Nimeona piasema mlioniqoute mpo wachache nawaombeni tu mfute jamani
Jael Saint Anne mtu chake Makiseo Zoë BUSH BIN LADEN
Jinsi picha ilivyo nzuri ngoja ikae kae kwanzaNimeona piasema mlioniqoute mpo wachache nawaombeni tu mfute jamani
Jael Saint Anne mtu chake Makiseo Zoë BUSH BIN LADEN Zeus1



Inabidi tusiweke tena, tuweke za ukili tu.
Sio vizuri jamani.
Ngoja nitoe.Sio vizuri jamani.
Wanaonijua personally wakinibamba huku watashangaa mno maana me huku duniani niko mpole sana. Hawato amini hakii kwamba ndiyo mimi nipo naropoka ropoka huku

