Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
HahahahaMkimaliza stori zenu za magari muweke picha please.
Una machungu ya nini?
Niko poa sana mkuuAlhamdulillah sijambo.. khofu kwa wewe tu!
Mi najua kukwea baiskeli na kuondoka kudiscuss sijui lolote zaidi ya kuweka mafuta.Hahahaha
Hebu kuja hapa tuijadili Vitz clavia
Yaani Leo Hadi Mimi nimeikuta jioniLeo maajabu![]()


Wapi hapo?
Yaani vile viumbe vya ajabu ajabu vilivyombo humo nikakufikiria tu daaah!!dah sasa ulikuwa unacheka nini

Hujapatambua??Wapi hapo?
Ya 8 8Leo maajabu![]()
Wewe upo floor ya Tatu kwenye hilo jengo bisha?
Yaani Leo Hadi Mimi nimeikuta jioni
Sasa hivi ndivyo inavyotakiwa picha ziwekwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha sijapiga mimi.Wewe upo floor ya Tatu kwenye hilo jengo bisha?
Aisee.. Safari njema
Bahati nzuri zaidi picha inaonekana kwa wote waliokuquoteNi bahati tu kwa leo sbb nilikuwa busy then network ya leo huku nilipo ni Mungu ndiyo anajua

Hahah hebu iweke sasa..Yaani Leo Hadi Mimi nimeikuta jioni
Sasa hivi ndivyo inavyotakiwa picha ziwekwe.
Sent using Jamii Forums mobile app