Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nifundishe na Mimi kuangalia movie.
Haiwezekani hadi Sasa sijui hayo madude[emoji1751]hata ka kusingizia[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwee hivi kumbe kuangalia movie nako kunafundishwa? [emoji2296][emoji2296] Mie mwenyewe ukitoa hizo nilizotaja hapo hakuna movie nyingine nimeona hivyo nazijua hizo tu!

By the way mimi si mwalimu mzuri. Nafikiri muone Jael atakusaidia.
 
Umrudishe Sasa ili tuendelee kuenjoy

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni kazi yako ujue [emoji23][emoji23]
Kumbuka tuligawana kila mtu na mtu wake wa kumrudisha ambaye yupo naye mkoa mmoja sasa wewe mtu upo naye huko unaniambia mimi tena ndiyo nimrudishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo alikuja kuvuruga vikao huko ubelgiji[emoji1787],toka ameondoka huku hajarudi tena
Mmemficha nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona anavyonionea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto mdogo sijui movie ya kifilipino hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza nimeghairi achana na dada yangu, mtafute dada yako akufundishe kuangalia movie za kikorea hizo ndiyo zinakufaa. [emoji23][emoji23]
 
Mwee hivi kumbe kuangalia movie nako kunafundishwa? [emoji2296][emoji2296] Mie mwenyewe ukitoa hizo nilizotaja hapo hakuna movie nyingine nimeona hivyo nazijua hizo tu!

By the way mimi si mwalimu mzuri. Nafikiri muone Jael atakusaidia.
Si bora hata wewe unajua hizo.
Mimi sijui hata moja[emoji1751]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza nimeghairi achana na dada yangu, mtafute dada yako akufundishe kuangalia movie za kikorea hizo ndiyo zinakufaa. [emoji23][emoji23]
Khantwe [emoji23][emoji23]
Sasa kikorea na Mimi wapi na wapi?
Yaani nikasikilize kikorea halafu nianze kusoma subtitle kwa kizungu,unataka kunipasua kichwa???[emoji38][emoji38]

Bongo movie tu huwa nachoka kusikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom