Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,304
- 95,641
Naam Rafiki, nimeona asee
Naam Rafiki, nimeona asee
Utazame nini sasa hapo?Saaaaaafi sana aisee! Ngoja nisogee niitazame vizuri
😅😅😅mambo ya mitandaoni rafiki usistuke🤣😅Naam Rafiki, nimeona asee
Hahahaha, uko vzr Rafiki. Hongera sana[emoji28][emoji28][emoji28]mambo ya mitandaoni rafiki usistuke[emoji1787][emoji28]
.....
Guu guu wallahi dah [emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Weee uko km mie, mwenzio nna PC yaan haina movie hat ya kudanganishia, ina vitu vingne tyuuh, mbaya zaid ina game la PS4 bas mie mwenyewe sijui wanachezaje, lolKhantwe [emoji23][emoji23]
Sasa kikorea na Mimi wapi na wapi?
Yaani nikasikilize kikorea halafu nianze kusoma subtitle kwa kizungu,unataka kunipasua kichwa???[emoji38][emoji38]
Bongo movie tu huwa nachoka kusikiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooooooooh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nimegugo huko rafiki yangu...unanipaisha kichwa mwisho watu waanze leta usumbufu rafiki😅😅Hahahaha, uko vzr Rafiki. Hongera sana
Huko kwenye game ndo kabisa Niko mweupe pee.Weee uko km mie, mwenzio nna PC yaan haina movie hat ya kudanganishia, ina vitu vingne tyuuh, mbaya zaid ina game la PS4 bas mie mwenyewe sijui wanachezaje, lol
Sas kuna mtu anashnda nalo hilo game naishia kumuangalia mie hat sielew chochote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushamba mzigo
.....
Hahahaha, mm natoa sifa na pongezi, ume gugo lkn umefanana na wako ujue, ...Rafiki kumbe hupendi usumbufu eehNimegugo huko rafiki yangu...unanipaisha kichwa mwisho watu waanze leta usumbufu rafiki[emoji28][emoji28]
Mzima wewe[emoji11]
😜Woyooooooooooh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mie PC angu folders alitengeneza ma broh, kwahiyo kaweka vitu vingne ambavyo hat mie mwenyewe sina hobby navyo, achilia kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Huko kwenye game ndo kabisa Niko mweupe pee.
Nalijua tu la snake Xenzia na lile soduko sijui sodoku enzi hizo mhenga nimenunua naokia tochi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ushamba ni maamuziMie PC angu folders alitengeneza ma broh, kwahiyo kaweka vitu vingne ambavyo hat mie mwenyewe sina hobby navyo, achilia kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Yaan PC ina vitu vingi hadi sio poa wakati mie mwenyew hat sina mambo mengi, ushamba mzigo kwa kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nmekumic dea, afu una macho amaizing, lol [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji12]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] itabidi unihamishie na kwangu mie hizo kwaya, nianze kuimba, kuabudu na kusifu.Si ushamba ni maamuzi
Mimi namshukuru Mungu imejaa kwaya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app