Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mmhh hebu acha zako
Basi na mie sijui hizo nimesimuliwa
Kweli Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh hebu acha zako
Basi na mie sijui hizo nimesimuliwa
Khantwe [emoji23][emoji23]
Sasa kikorea na Mimi wapi na wapi?
Yaani nikasikilize kikorea halafu nianze kusoma subtitle kwa kizungu,unataka kunipasua kichwa???[emoji38][emoji38]
Bongo movie tu huwa nachoka kusikiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakutumia kwenye Basi kadogo kangu
Wale ambao huwa wanapiga kelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si unaangalia zilizotafsiriwa na lufufu, hapo unakuwa haupati shida ya kusikiliza maneno wala kusoma subtitles wewe ni kuangalia tu actions.
Ila mimi movie zilizotafsiriwa tena za kikorea sijui kihindi haunikalishi chini kutazama hata kwa bunduki, wanakuwaga waongo sana wale watafsiri haki ya nani. [emoji1787][emoji1787]
Aje tuwe tunaangalia, ila sio yale madude yako hayaeleweki.
Zoe huyo alikuja kumchukua huku
Akanipokonya hivihivi naona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kesho unitumie aiseeNitakutumia kwenye Basi kadogo kangu
Hapo ndipo anapokosea[emoji16]
Anakazania wenzie waweke huku yeye hajawahi kuweka japo kidole.
Hivi picha yake hauna kweli nije kuomba[emoji2092]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukamhamisha na mkoa[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mkomalieni Naye aweke yakeSijui ana matatizo gani jamani! Yani hajawahi kuweka hata kwa bahati mbaya!
Yaani nitulie kuangalia mavitu ya ajabu hata hayaeleweki[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona yanaeleweka jamani, inatakiwa muangalie kwa kutulia.
@SHIMBA YA BUYENZE kuja jibu hapa...
Huyu na Makiseo wake hawana huruma. Eti utulie usuke ukili dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gate pass ya kuingilia nyumbani kwako ni ipi?Ngoja nimwekee picha.
View attachment 1527130
Hiyo sifuti hadi ameiona.
SHIMBA YA BUYENZE hebu wahi.
Ngoja aje...