Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,545
- 18,251
Nilikuwa nasikia pilau la Miriam biryan,leo nimefunga safari Tabata kulitest kwa special oda.
Nilikuwa nasikia pilau la Miriam biryan,leo nimefunga safari Tabata kulitest kwa special oda.View attachment 1526963
Tulimuomba picha akachukua yangu juu huko akaipost tena...
Tukamuuliza kulikoni? Akatuwekea Matunda..
Mtu wa namna hii ni wa kumsamehe kweli jamani?
Umefurahiii mpaka gego la mwisho. We na huyo rafiki yako suburini tu dawa yenu inachemka [emoji51][emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Captain hebu njoo uone ninavyokula za uso huku. Wakati wewe unaishiaga kusalimiwa na viemoji vitamu tamu. Nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa kichapo nitakachompa hatakaa akisahau [emoji16]Sikutag Wala nini.... Niachee..
Nilikuwa nasikia pilau la Miriam biryan,leo nimefunga safari Tabata kulitest kwa special oda.View attachment 1526963
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aiseeeeHiyoooo Twende jino kwa jino Depal.View attachment 1526128
Nina maneno basi miye? Nimeshagivapu. Yote maisha tu bana. Yaani hao mabinti wawili wanavyonitesa na kuninyanyasa siyo poa hata kidogo. Itabidi tu nihame huu uzi mazima kwa sababu kila nikija ni za uso tu non stop dah !!!Nilikuambia usifute unaona sasa
Nilijua tu lazima shimba atakuja kulalamika
Tatizo SHIMBA YA BUYENZE nawe mchoyo sana wa picha zako acha upitwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa kunitetea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Jamani msimfanyie hivo mwenzenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umefurahiii mpaka gego la mwisho. We na huyo rafiki yako suburini tu dawa yenu inachemka [emoji51][emoji51][emoji51]
Tulia dawa ikuingie.. Captain picha anaweka... wewe unakazi ya kujaza server ya JF na Matunda..Mkuu Captain hebu njoo uone ninavyokula za uso huku. Wakati wewe unaishiaga kusalimiwa na viemoji vitamu tamu. Nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa kichapo nitakachompa hatakaa akisahau [emoji16]
Kwamba wewe ni sawa na mimi? Wakati mie kula matunda ni mpaka niandikiwe na daktari[emoji134]Mkuu Captain hebu njoo uone ninavyokula za uso huku. Wakati wewe unaishiaga kusalimiwa na viemoji vitamu tamu. Nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa kichapo nitakachompa hatakaa akisahau [emoji16]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawamuogopi bali ni special case
Hivi kati yetu na wewe nani anamnyanyasa mwenzie?Nina maneno basi miye? Nimeshagivapu. Yote maisha tu bana. Yaani hao mabinti wawili wanavyonitesa na kuninyanyasa siyo poa hata kidogo. Itabidi tu nihame huu uzi mazima kwa sababu kila nikija ni za uso tu non stop dah !!!
Nifundishe na Mimi kuangalia movie.Duuuuuuh sasa kwangu unajifunza nini?
Naeleweka vibaya aisee!
Umrudishe Sasa ili tuendelee kuenjoySana aise
Nimemuweka kwenye top 3 ya watu wangu wanaojua kutema kikristo humu JF
We tulia suka ukili.Nifundishe na Mimi kuangalia movie.
Haiwezekani hadi Sasa sijui hayo madude[emoji1751]hata ka kusingizia[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
@SHIMBA YA BUYENZE kuja jibu hapa...Hivi kati yetu na wewe nani anamnyanyasa mwenzie?
[emoji7]Nilikuwa nasikia pilau la Miriam biryan,leo nimefunga safari Tabata kulitest kwa special oda.View attachment 1526963